Your cart is empty
Kuhusu Khalidi Magari Dodoma Mjini
Khalidi Magari ni kampuni ya uuzaji wa magari inayojitahidi kuwapatia Watanzania magari bora, salama na ya bei inayoeleweka. Tumejijengea jina kwa uaminifu, uwazi na huduma ya kitaalamu, na kila mteja anayetutembelea hutendewa kama mwanafamilia.
Kinachotutofautisha ni ahadi yetu: kila gari tunaloliuza hukaguliwa, kila mteja hupewa taarifa za kweli, na hakuna gharama zilizofichwa. Hatuishii kukuuzia gari tu, tunabaki kuwa mshirika wako hata baada ya kuondoka na gari lako.
Tunaamini gari si chombo cha usafiri tu, bali ni uwekezaji na sehemu ya ndoto za maisha yako. Ndiyo maana tupo hapa kukusaidia kupata gari sahihi, kwa bei sahihi, kutoka kwa watu unaoweza kuwaamini.

Kuwapatia wateja wetu magari bora, salama na yenye thamani halisi ya fedha zao, kwa uwazi, uaminifu na huduma ya kitaalamu, kuanzia siku ya kwanza ya kutuchagua hadi baada ya kuondoka na gari lao.
Kuwa kampuni inayoongoza na kuaminika zaidi katika uuzaji wa magari Tanzania na Afrika Mashariki, ikijulikana kwa ubora, uadilifu na kuridhika kwa wateja.
Timu Yetu
Mkurugenzi Mkuu
Meneja Utawala
Afisa usimamizi wa ofisi, na huduma kwa wateja
IT & Social Media Manager
Afisa usafirishaji na mkaguzi wa magari Mkuu
Your cart is empty
Resolving Details