Kuhusu Khalidi Magari Dodoma Mjini

Mshirika Wako wa Magari

Khalidi Magari ni kampuni ya uuzaji wa magari inayojitahidi kuwapatia Watanzania magari bora, salama na ya bei inayoeleweka. Tumejijengea jina kwa uaminifu, uwazi na huduma ya kitaalamu, na kila mteja anayetutembelea hutendewa kama mwanafamilia.

Kinachotutofautisha ni ahadi yetu: kila gari tunaloliuza hukaguliwa, kila mteja hupewa taarifa za kweli, na hakuna gharama zilizofichwa. Hatuishii kukuuzia gari tu, tunabaki kuwa mshirika wako hata baada ya kuondoka na gari lako.

Tunaamini gari si chombo cha usafiri tu, bali ni uwekezaji na sehemu ya ndoto za maisha yako. Ndiyo maana tupo hapa kukusaidia kupata gari sahihi, kwa bei sahihi, kutoka kwa watu unaoweza kuwaamini.

Wasiliana Nasi
About 1, Khalidi Magari Dodoma Mjini

Kununua na Kuuza

Magari bora kwa bei nafuu mjini Dodoma.

Ushauri wa Magari

Mwongozo sahihi kulingana na bajeti yako.

Kuagiza Nje ya Nchi

Huduma ya kuagiza gari lako kwa usalama.

Chagua Gari Lililo Bora Kwako

Magari Yetu Yote

All Categories ( 4)
Mitsubishi ( 1)
Subaru ( 1)
Toyota ( 2)
Toyota
Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Axio, Khalidi Magari Dodoma Mjini

Toyota Axio

TSh 11,500,000
VIEWDETAILS
Toyota
Toyota Belta, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Belta, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Belta, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Belta, Khalidi Magari Dodoma Mjini Toyota Belta, Khalidi Magari Dodoma Mjini

Toyota Belta

TSh 8,500,000
VIEWDETAILS
Mitsubishi
Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini Mitsubishi RVR, Khalidi Magari Dodoma Mjini

Mitsubishi RVR

TSh 21,000,000
VIEWDETAILS
Subaru
Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini Subaru XT, Khalidi Magari Dodoma Mjini

Subaru XT

TSh 17,000,000
VIEWDETAILS
?>

Join our team and grow with us

Nafasi za Kazi

No job openings available

Check back soon for new opportunities!

Safari yako ya kumiliki gari inaanzia hapa

Tunafanyaje kazi?

01

Chagua Gari

Tazama magari yetu kwenye tovuti, chagua brand, bei, mwaka na aina ili kupata gari linalokufaa. Pia unaweza kututembelea ofisini kuona magari yaliyopo.

02

Wasiliana Nasi

Tupigie simu,au tuandikie ujumbe WhatsApp.

03

Kagua Gari

Njoo ulikague gari ana kwa ana, ulijaribu barabarani (test drive) na uone nyaraka zake. Unakaribishwa pia kuja na fundi wako au kuomba ukaguzi wa kitaalamu.

04

Lipia kwa Usalama

Baada ya kuridhika, kamilisha malipo kwa njia inayokufaa (pesa taslimu, benki, simu au malipo ya awamu kama yapo). Utapewa risiti na mkataba wa mauzo ulio wazi, bila gharama zilizofichwa.

Wateja Wetu

Zaidi ya Watanzania Milioni 13 Wanaamini Huduma Zetu.

Makala Zetu za Hivi Karibuni

Habari na Dondoo za Magari

MAKOSA 10 YA KUEPUKA WAKATI WA KUNUNUA GARI, Khalidi Magari Dodoma Mjini
Khalidi Magari Nov 4, 2026
MAKOSA 10 YA KUEPUKA WAKATI WA KUNUNUA GARI.

Fahamu makosa haya unayoweza kuyafanya wakati wa kununua gari.

Share Your Experience

Your Rating *
★ ★ ★ ★ ★
Excellent
Upload a photo JPG, PNG or WebP · max 3 MB
✓ Thank you! Your review has been submitted and will appear after approval.

Ushuhuda wa Wateja

Wateja Wetu Wanasemaje

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali ya Kawaida

Kitambulisho (NIDA, leseni ya udereva au pasipoti) na namba ya mlipakodi (TIN). Kwa makampuni, leseni ya biashara na TIN ya kampuni.
Ndiyo, tunashughulikia mchakato mzima wa kuagiza gari lako kutoka nje hadi linapokufikia Dodoma au popote ulipo.
Hakika, tunatoa ushauri wa kina kuhusu aina ya gari, matumizi, na bajeti yako ili ufanye maamuzi sahihi.
Inategemea nchi gari linapotoka, lakini kwa kawaida huchukua kati ya wiki 4 hadi 8 hadi kufika Tanzania.
Tunapatikana Dodoma Mjini royal village uelekeo wa Swaswa jengo la AJ PRIME COMPLEX, fika ofisini kwetu au tupigie simu kupata maelekezo kamili ya kufika.

Get in touch.

Wasiliana Nasi

Phone

· +255762496253· +255753802518· +255222215856

Address

Dodoma Mjini royal village uelekeo wa Swaswa jengo la AJ PRIME COMPLEX, Tanzania

Working Hours

Jumatatu hadi Jumamosi, saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details