Mwanzo › Khalidi Magari Dodoma Mjini

Khalidi Magari Dodoma Mjini

Wataalamu wa kuuza, kununua na kuagiza magari Dodoma

Chagua Huduma Inayokufaa

Gharama Zetu Wazi

Ushauri wa Magari

TZS 50,000 kwa gari

  • Ukaguzi wa kina wa gari
  • Tathmini ya bei sokoni
  • Ushauri wa matengenezo
  • Msaada kwa njia ya simu

Kuagiza Gari Nje

TZS Inategemeana kwa agizo

  • Kutafuta gari bora mnadani
  • Usimamizi wa usafirishaji
  • Ushuru na usajili bandarini
  • Uwasilishaji Dodoma Mjini

Uuzaji na Ununuzi

TZS Maelewano kwa mkataba

  • Kutafuta mnunuzi haraka
  • Mikataba halali ya kisheria
  • Ukaguzi na upimaji wa gari
  • Huduma ya haraka Dodoma

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali ya Kawaida

Kitambulisho (NIDA, leseni ya udereva au pasipoti) na namba ya mlipakodi (TIN). Kwa makampuni, leseni ya biashara na TIN ya kampuni.
Ndiyo, tunashughulikia mchakato mzima wa kuagiza gari lako kutoka nje hadi linapokufikia Dodoma au popote ulipo.
Hakika, tunatoa ushauri wa kina kuhusu aina ya gari, matumizi, na bajeti yako ili ufanye maamuzi sahihi.
Inategemea nchi gari linapotoka, lakini kwa kawaida huchukua kati ya wiki 4 hadi 8 hadi kufika Tanzania.
Tunapatikana Dodoma Mjini royal village uelekeo wa Swaswa jengo la AJ PRIME COMPLEX, fika ofisini kwetu au tupigie simu kupata maelekezo kamili ya kufika.

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details