Mwanzo › Khalidi Magari Dodoma Mjini

Khalidi Magari Dodoma Mjini

Uuzaji, Ununuzi na Uagizaji wa Magari ya Uhakika Dodoma

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali ya Kawaida

Kitambulisho (NIDA, leseni ya udereva au pasipoti) na namba ya mlipakodi (TIN). Kwa makampuni, leseni ya biashara na TIN ya kampuni.
Ndiyo, tunashughulikia mchakato mzima wa kuagiza gari lako kutoka nje hadi linapokufikia Dodoma au popote ulipo.
Hakika, tunatoa ushauri wa kina kuhusu aina ya gari, matumizi, na bajeti yako ili ufanye maamuzi sahihi.
Inategemea nchi gari linapotoka, lakini kwa kawaida huchukua kati ya wiki 4 hadi 8 hadi kufika Tanzania.
Tunapatikana Dodoma Mjini royal village uelekeo wa Swaswa jengo la AJ PRIME COMPLEX, fika ofisini kwetu au tupigie simu kupata maelekezo kamili ya kufika.

Get in touch.

Wasiliana Nasi

Phone

· +255762496253· +255753802518· +255222215856

Address

Dodoma Mjini royal village uelekeo wa Swaswa jengo la AJ PRIME COMPLEX, Tanzania

Working Hours

Jumatatu hadi Jumamosi, saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details