Bima inakusaidia kupata kinga ya kifedha dhidi ya matukio yanayofunikwa na masharti ya bima uliyochagua.
AINA ZA BIMA ZA MAGARI.
1.Third Party Insurance.
Ni aina ya bima inayohusisha dhima kwa uharibifu au madhara yanayoweza kusababishwa kwa watu wengine kutokana na matumizi ya gari, kwa mujibu wa masharti ya bima.
2.Comprehensive Insurance.
Ni aina ya bima inayoweza kutoa kinga pana zaidi, ikiwemo uharibifu wa gari lako na dhima kwa watu wengine, kulingana na masharti ya mkataba wa bima.
TUNAKUSAIDIAJE?
- Kukuelekeza kuhusu aina mbalimbali za bima.
- Kukusaidia kuelewa tofauti za bima.
- Kukuelekeza kuhusu mahitaji ya kupata bima.
- Kukusaidia kufuatilia mchakato wa kupata bima kulingana na huduma inayopatikana
Usisubiri mpaka changamoto ijitokeze.Wasiliana nasi ili upate maelekezo kuhusu bima inayoweza kukufaa.