HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA:
1.Kubadilisha umiliki wa gari.
Tunakusaidia katika taratibu za kubadilisha umiliki wa gari kutoka mmliki wa awali kwenda kwa mmiliki mpya.
2.Usimamizi wa taratibu za nyaraka.
Tunakusaidia kufahamu na kufuata taratibu zinazohitajika katika kushughulikia nyaraka za gari.
3.Mwongozo wa nyaraka.
Tunakuelekeza kuhusu nyaraka na taarifa zinazohitajika kulingana na huduma unayohitaji.
KWA NINI UTUMIE HUDUMA HII?
- Unapunguza usumbufu wa kufuatilia taratibu mwenyewe.
- Unapata mwogozo kuhusu nyaraka zinazohitajika.
- Unapata msaada katika mchakato wa kubadilisha umiliki.
- Unarahisisha hatua za kushughulikia nyaraka za gari lako.
Usikwame kwenye taratibu za umiliki.Wasiliana nasi na utueleze huduma ya nyaraka unayohitaji ili tukuongoze kuhusu hatua zinazofuata.