Je,unatamani kumilki gari kutoka nje ya nchi? Khalidi Magari Dodoma Mjini tunakusaidia katika mchakato wa kuagiza magari kutoka nje ya nchi kulingana na mahitaji na uwezo wako wa kifedha.
Tunakuongoza katika kutafuta gari unalohitaji, kuchagua aina na specifications zinazokufaa na kuelewa hatua mbalimbali za mchakato wa uagizaji.
HUDUMA ZETU ZA UAGIZAJI ZINAHUSISHA:
- Kukusaidia kutafuta gari kulingana na mahitaji yako
- Kukushauri kuhusu aina na model za magari unayoweza kuagiza
- Kukuelekeza kuhusu mchakato wa ununuzi wa gari nje ya nchi.
- Kukupa mwongozo kuhusu gharama zinazohusika katika uagizaji
- Kukufahamisha kuhusu hatua za usafirishaji na upokeaji wa gari
KWA NINI KUAGIZA GARI KUPITIA KHALIDI MAGARI DODOMA MJINI?
Tunatambua kuwa kuagiza gari kutoka nje ya nchi kunaweza kuwa na maswali na changamoto nyingi.Ndiyo maana tunakuwepo kukusaidia kuelewa mchakato na kufanya maamuzi sahihi kabla ya kuanza.
UNATAKA KUAGIZA GARI?
Tuambie aina ya gari unalotaka, mwaka, bajeti na specifications zako ili tuweze kukuelekeza kuhusu hatua zinazofuata.