+255762496253
info@khalidimagaridodomamjini.com
Jtatu - Jumamosi, 2:00 - 12:00 Jioni
Back

Kulipa Kidogo Kidogo

Unahitaji kununua gari lakini ungependa kulipia kwa awamu? Pata huduma ya kulipa kidogo kidogo kupitia khalidi magari dodoma mjini.

Khalidi Magari Dodoma Mjini tunakupa fursa ya kumiliki gari lako kwa kulipa au kufaya uwekezaji wa kidogo kidogo hadi utakapokamilisha fedha yako kutokana na aina ya gari ulilochagua.

UTARATIBU UPOJE?
Utaratibu wa kulipa kidogo kidogo unampa nafasi mteja wa khalidi magari kuchagua gari analotamani kulimiki, ataona na gharama zake ni kiasi gani, kisha kuanza kulipa kiasi hicho kidogo kidogo kwa muda ambao atachagua yeye mwenyewe.Uwe Dodoma au nje ya mkoa wa Dodoma basi unaweza kupata huduma hii kwa uaminifu mkubwa.

Utaratibu wa kidogo kidogo huwa ni kwa magari ambayo hayapo ofisini.Yaani mteja baada ya kukamilisha malipo yake basi atapewa gari lake. Lakini kwa magari yaliyopo ofisini wateja hulipia kwa cash au bank.
Utakuwa na karatasi ya kufatilia malipo yako, lakini pia sisi tutakuwa tunafatilia taarifa zako kwa ukaribu.

Unahitaji kuanza safari yako ya kumiliki gari kwa kulipa kidogo kidogo?

JINSI YA KUANZA SAFARI YAKO YA KULIPA KIDOGO KIDOGO.
  • Bonyeza Kitufe cha ' Fomu 'kupakua fomu yako ya maombi ya kulipa kidogo kidogo.
  • Download na ku print fomu
  • Jaza taarifa zako zinazohitajika kwenye fomu kwa usahihi.
  • Ijaze na kui scan tena, kisha iwasilishe kwenye whatsapp namba 0762496253/0753802518
  • Ambatanisha na kiasi cha fedha kidogo cha kuanza safari yako kupitia namba zilizopo kwenye fomu.
  • Maombi yako yatapitiwa na utaanza safari yako kwa wakati huo huo.
NB: Ikiwa unahitaji kujua gari unalolihitaji na gharama zake Bonyeza Hapa

Interested in this service? Get in touch and we'll help you get started.

Contact Us

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details